Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, October 12, 2008

Moja ya nne ya saa iliyopita , eneo la Chitosefunabashi...kulikuwa na maandamano ya kitamaduni ..bila shaka kusherehekea kuanza kwa kibaridi! mavazi maalum yalivaliwa , alama ya kimila ilibebwa , vinywaji vikali na mishikaki ilikuwepo ..lakini kwa waalikwa tu ..no geti krashers,

0 comments: