Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, November 09, 2008

Hapo wapiiiiii?
Watazamaji wa blog hii wameongezeka kwa mujibu wa mtandao unaoangalia idadi ya watazamaji . Kwahiyo nawaomba wale wenye picha zinazofaa kuuwekwa kwenye blog hii wanitumie kwa njia ya email nami nitaiweka. Tuma : brmsulwa@yahoo.com au bakari.msulwa@gmail.com (KP)

0 comments: