Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, November 09, 2008

Wananchi wengi wa Japani wanategemea treni kwa safari nyingi za ndani. Idadi ya watu wa jiji la Tokyo ni takriban Millioni 10 ingelikuwaje wangetegemea daladala kwa usafiri wa ndani ingekuwa balaa! . Nami nilikuwemo kunako chombo.

0 comments: