Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Tuesday, February 03, 2009

Majuzi huko Kibaha Mkoani Pwani kulikuwa na semina iliyowakutanisha waandishi wa habari waandamizi kutoka kona zote za Tanzania kupigwa msasa juu ya masuala ya utunzaji wa mazingira na utoaji wa habari zake. Pamoja na kuelimishwa pia kuna suala la taaluma yenyewe . Baada ya kukusanya taarifa lazima zifike kwenye mtandao wa kihabari ili ziwafikie wasikilizaji na watazamaji, Mgosi Peter Omari (pichani) Kutoka Sahara Communication Mwanza akiziweka sawa habari . Aisee timekupata, hongea sana!

0 comments: