Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, February 04, 2009

Valentine Day Bash in Tokyo
Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani (Tanzanite Society) inakuletea sherehe kabambe ya kuadhimisha siku ya wapendanao duniani itakayofanyika katika ukumbi wa Tropican Pub (zamani Taitec-Area51, simu: 0476-78-0560) ulio karibu na kituo cha train cha Sagamino (Sotetsu line) siku ya Jumamosi ya tarehe 14/2/2009.

Katika sherehe hiyo Dj mzoefu Pembe aka Dj Zee atawapatia Watanzania na wahudhuriaji wengine muziki safi wa aina mbali mbali. Kingilio: 2000Yen, utapata kinywaji kimoja.
Kutakuwa na zawadi mbalimbali kwa wapendanao watakaopendeza zaidi.
Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio, asije akakosa fursa hii ya kuburudika na kukutana na watanzania wenzake. Taarifa hii imetolewa na Kamati ya Uhamasishaji na Starehe ya Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani.
Kwa maelezo zaidi kuhusu sherehe hii tafadhali wasiliana na wafuatao:
Bw. Kapinga(080-3097-5744), Bw. Pembe (080-3458-8786), na Bi. Mariam(090-4422-8555).
uongozi wa Jumuiya
Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Japani (Tanzanite Society)
M/Kiti: 090-3899-0638 Makamu M/kiti: 080-30975744
Katibu Mkuu: 090-4130-4754
Katibu M/Msaidizi : 090-9801-4433K/Mwenezi : 080-3532-4043

0 comments: