Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, February 16, 2009

Siku ya wapendanao hapa nchini Japani ilikuwa Patashika. Watanzania wanaoishi hapa walifanya pati la nguvu lilifanyika katika eneo la Sagamionokatika Pub ya Tropican zamani ikijulikana kama Taitec Areas ambapo mbali na kula na kunywa disco la nguvu lilikuwepo chini ya DjZee Pembe. Palikuwa hapatoshi...

0 comments: