Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, March 06, 2009

Simba wa Vita Mzee Kawawa akielekea Sehemu ilikoandaliwa sherehe ya Birthday yake huko nyumbani kwake Madale. Anaongozana na mke wake mama Asina Kawawa pia mtoto wake Mheshimiwa Vita Kawawa Mbunge wa Jimbo la Namtumbo, Songea

0 comments: