Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, March 06, 2009

Hapo ni nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu Mzee Rashidi Mfaume Kawawa ambako siku za karibuni kulifanyika sherehe kubwa ya siku ya kuzaliwa mzee huyo ambapo ametimiza miaka 83. Fuatlia sherehe hiyo kwa njia ya picha( Kwa hisani ya kituo cha Starehe kwa watu makini -Kiluvya)

0 comments: