Balozi wa Tanzania nchini Japani Mh.Elly Mtango anastaafu baada ya kipini cha miaka 39 katika utumishi wa umma. Nchini Japani amehudumu kwa miaka nane. Mahojiano yake na NHK bofya; http://www.nhk.or.jp/nhkworld/swahili/top/podcasting.html
RAIS WA BURUNDI AMFARI RAIS SAMIA
1 hour ago

0 comments:
Post a Comment