Shabiki mkubwa wa blog hii Intl.PP.Peter Omari (Wa pili kulia)amefiwa na mtoto , baada ya kuishi duniani kwa saa mbili tu. Msiba ulikuwa jijini Mwanza. Mgosi pole sana . Kazi ya Mungu haina makosa.
RAIS WA BURUNDI AMFARI RAIS SAMIA
1 week ago

0 comments:
Post a Comment