Balozi wa Tanzania nchini Japani Mh.Elly Mtango amestaafu utumishi wa umma na usiku wa kuamkia leo ameagwa na wafanyakazi wa ofisi yake hapa Tokyo na wadau wa karibu wa Ubalozi. Pichani ni maafisa waandamizi wa Ubalozi katikati yao mwenye tai nyekundu ni balozi Mtango na Kulia kwake mke wake. Mh. Mtango anavunja rekodi ya kuwa balozi wa kwanza hapa Jaani kukaa muda mrefu mfululizo.Amekaa miaka tisa na ushee.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment