Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, April 20, 2009

Askofu wa kanisa la Methodist Mvume Dandala kushoto amejitosa kuwania uraisi wa Afrika Kusini kulia kwake akiwa na watumish wenzake wa Mungu Rev. John L. McCullough na Rev. Dr. Robert W. Edgar. Lakini Tsunami ya kampeni za Jacob Zuma zinatisha ..hebu shuhudia..

0 comments: