Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, April 20, 2009

Ombaomba wa Japani wanakaa kwenye viwanja ambavyo husafishwa kila siku na mamlaka za miji. Wana akaunti ambazo huwekwa fedha na serikali na kuna watu wana majukumu ya kuhakikisah usalama wao na kwamba wanapata mahitaji ya lazima..Duh!

0 comments: