Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, April 20, 2009

Raisi wa zamani wa Afrika ya Kusini Mzee Nelson Mandela katikati akisaidiwa kutembea kwenda jukwani kumpiga tafu Jacob Zuma kushoto kwake ni mkewe wa zamani Bi. Winnie Mandela . Mandela anaema Zuma ndio anayefaa kuwa Raisi wa Afrika ya Kusini kwa sasa.

0 comments: