Mvua zinanyesha kwa wingi hivi sasa jini Mwanza na athari yake inaonekana kwenye miundombinu...Tatizo ni hakuna wahandisi wanaoweza kutanzua hili sio tu Mwanza kote likiwemo jiji la Dar es salaam au wakubwa wako kwenye strateji ya mikakati bado?
Zawadi za mashada ya maua ya pesa taslim zinazungumziwaje?
28 minutes ago

0 comments:
Post a Comment