Chochote atakachokifanya kimakosa kitautikisa ulimwengu. Raisi Barack Obama huwa na tabia ya kuwaza kwanza kama picha inavyoonekana kabla hajatoa maamuzi mazito yanayoigusa dunia,Hapa baada ya mazungumzo yake na waziri wa fedha wa nchi hiyo Timothy Geithner. Akiinuka anatoa maamuzi ambayo ana hakika nayo. Weye nawe huwa unafanyaje au kitakachokuja ndio hicho hicho?.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment