Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, May 03, 2009

Moja baada ya jingine ,First Lady Michelle Obama amemtembelea mzee ofisi kwake lakini alimkuta anamaliziamazungumzo na waziri anayeshughulikia masuala ya habari Robert Gibb inabidi mamaa asubiri kwanza. Kuna raha yake kurahisisha mambo au siyo!

0 comments: