Ni Mrisho Mpoto Msanii mahiri asiyeuma maneno. Anasema akipata nauli ataenda kwa mjombake . Ameimba kwa kushirikiana na Banana Zorro. anasema "Bora kujenga daraja kuliko ukuta, chemchem si temi, ukitaka kunywa maji yake sharti uiname." "Tumbo kali jana kashikwa na kuku wa jirani, lakini cha ajabu inaelezwa ushahidi wa mwizi wa kuku hadi atakapokamatwa na mchuzi au kipande cha mnofu". Hebu bofya hapo usikie safari hii kwenda kwa mjomba.Take5 Mpoto hii nimeikubali. Weye je no au Yesi?
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Tuesday, June 02, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment