Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, June 01, 2009

Polisi katika uwanja wa ndege wa Los Angeles wakimuondoa mwandishi wa habari Brenda Lee karibu na ndege ya Raisi Air Force One baada ya kujaribu kumpa Raisi Barack Obama . Naona jaribio lake lilishindikana na barua anayo mkononi . Ajali kazini .

0 comments: