Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, June 12, 2009




Je haiwezekani kuwa na msitu kama huu katikati ya jiji la Dar s slaam ,mathalani kariakoo , Mnazi mmoja ama Kibaha . Jijini Tokyo imewezekana . Msitu huu uko katikati ya jiji lenye watu takkriban millioni 13. Tujaribu basi au!

0 comments: