Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, June 12, 2009

Watu wasio na makazi wanaolala barabarani wapo pia nchini Japani. Jamaa jijini Tokyo kajitengenezea makazi yake hapo godoro , mablanketi na nyumba ya manailoni na jiji limempa ufagio ili apasafishe.

0 comments: