Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, June 06, 2009

Raisi wa Afrika ya Kusini Jacob Zuma akiwa na wake zake watatu Makhumalo, Mantuli na Mabhija, sura zao zikiashairia kuwa wanafurahia maisha na mume wao , muda mfupi kabla Mh. Zuma hajalihutubia Bunge siku chache zilizopita.

0 comments: