Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, June 04, 2009

Metro Rapid yameanza kuingia bongo ..tunaambiwa yatamwagwa kwa sana tu...tusubiri huenda itapunguza kero ya usafiri jijini Dar es salaam.

0 comments: