Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, August 14, 2009

Mmoja wa wanamuziki wa kizazi kipya walioitoa kimasomaso Bongo Flavour katika macho ya kimataifa ni Nakaaya Sumari...sikiliza mahojiano yake na kituo cha televisheni cha CNN. Mahojiano yamefanyika kwa kisukuma...

0 comments: