Mwanamuziki mwenye kipaji kikubwa cha muziki wa taratibu ya Bongo Flava akiwa katika harakati za kurekodi video ya nyimbo zake mpya "Malaika" na "G5" zinazotajwa kuwa ni moto wa kuotea mbali. Ladydee uko juu. Picha kwa hisani Mtandao wa Ladyjadee.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment