Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, August 19, 2009



Mwezi Mtukufu wa Ramadhani umewadia , Mwezi unaomtaka kila Muislamu kufunga na kutubia kwa Mwenyezi Mungu. Siku mbili zimebakia ibada hiyo muhimu kuanza...Waislamu dunia nzima hushikamana kwa ibada hii. Chukua muda wako sikiliza dua hii ambayo imetafsiriwa kwa kisukuma.....MIRINDIMO inawatakia mfungo mwema wa Ramadhani...

0 comments: