Mwanadiplomasia na balozi wa Norway kwenye Umoja wa Mataifa, Bi. Mona Juul "inasemekana" ameiandikia wizara ya mambo ya nchi za nje ya Norway, taarifa ya siri jinsi katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Kim-Moon alivyoshindwa kufanya kazi. Hayo yaliandikwa na gazeti la Norway la kila siku, Aftenposten kuwa Ban Kim-Moon hajui kufanya kazi, haelewani na wafanyakazi walio chini yake na ana hasira za mkizi. Kwenye taarifa hiyo, inaonyesha kuwa Ban Kim-Moon haelewani kabisa na msaidizi wake, Bi. Asha Rose Migiro na tetesi kuwa huenda Ba Kim Moon akamtema Bi. Migiro kama msaidizi wake.Chanzo:http://watanzaniaoslo.blogspot.com .Lakini wanaohusika hawajakanusha wala kukubali...sijui zengwe au usanii tu wa ...
Maagizo ya rais ni nini?
3 hours ago
0 comments:
Post a Comment