Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, August 21, 2009


Kwa wale wanapenda nyimbo za kale hususan za Lwambo Lwazo Makiadi au Simaro Massiya Lutumba wanastahili kuangalia na kusikiliza nyimbo hii,Eau Benite.
Lutumba alipoitambulisha nyimbo hii kwa mara ya kwanza Jijini Kinshasa , DRC miaka ya 80, alitokwa na machozi. Nini kilimliza . Sikiliza vyombo , sauti na maandishi ya kiingereza , unaweza kujua ninini kilimpata...wikiendi njema

0 comments: