Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, August 22, 2009


Jeshi la Polisi nchini Tanzania limeanza kuchukua hatua kali dhidi ya madereva wazembe wanaosababisha vifo. Hukumu ya papo kwa papo ni kuporwa leseni maisha na kutangazwa kwenye vyombo vya habari. Hilo ni moja ya tangazo ambalo madereva wanapewa kila siku kuwakumbusha juu ya hatua hii.

0 comments: