
Du!... nimesikia wimbo kupitia redio moja ya Bongo ... online wimbo unaitwa V.I.P uliotungwa na Hayati Jerry Nashon Dudumizi -Pichani,akiwa na vijana Ochestra wakati huo. Kama wewe ni kijana wa zamani na unafuatilia nyimbo za kipindi hicho utamkumbuka bila shaka . Mungu ailaze roho ya marehemu peponi amin.
RAIS WA BURUNDI AMFARI RAIS SAMIA
6 hours ago

0 comments:
Post a Comment