Mwakilishi wa Tanzania katika Big brother Africa –BBA kule Afrika Kusini Elizabeth Gupta ameitumia siku yake ya nne Alhamisi leo ndani ya jumba La BBA katika kinyanganyiro cha siku 91. Binti huyo mwenye miaka 21 , mtangazaji wa TV aliwahi kushiriki katika mashindano ya Miss Tanzania na akawepo kwenye zile nafasi 10 za Mwanzo. Historia yake inaoonekana kuwa aliwahi kuishi Hungary. Unaweza kuangalia jinsi alivyoingia katika Jumba la BBA siku ya kwanza kupitia mtandao huu hapa; http://www.mnetafrica.com/bigbrother/video/browsevideo.aspx?Vid=17784
Na bila shaka kuanzia hapo unaweza kufuatilia matukio mbalimbali ndani ya mjengo huo na hatimaye ukampigia kura yako
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Thursday, September 17, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment