Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, September 16, 2009


Mdada mjasiriamali. Anayeishi hapa Japan akiwa safarini kwenda mlima Fuji! Mrefu kuliko yote nchini Japani. Take 5. Hebu fuatilia habari zake kupitia: http://mumyhery-jp.blogspot.com , uweze kuchati naye katika masuala ya fashion & design na biashara kwa ujumla, na kuziona bidhaa mbali mbali zinazopatikana mumyhery collection. Kuna mjasirimali pia katika fani ya Muziki.
Mwanamuziki wa kitanzania mwenye historia iliyotukuka duniani kwa kanda hii yetu Fresh Jumbe mkuu akiwa katika Picha na Mwanamuziki wa Kizazi kipya nchini Tanzania Lady Jay Dee alipotembelea nchini Japani mwaka uliopita. Fresh anafanya kazi zake za muziki nchini japani. Take 5 mgosi!Ukitaka kujua ratiba za show zake na habari nyingine pita kwenye Official website yake inayojulikana kama : www.freshjumbe.com

0 comments: