Alama ya jiji...ushanfahamu! Hili ni jiji la Yamato nchini Japani liko nje kidogo ya Tokyo...Lina umaarufu wake . taarifa zaidi baadaye.
Mtaa wa madukani ..Yamato ..hukosi kitu mkubwa hapo..
Parking..Ingekuwaje kila mtu angepaki anapopataka...pasingetosha. uongo?
Simama kwanza soma maelekezo...
TANZANIA, ALGERIA ZAPIGA HATUA USHIRIKIANO SEKTA TANO
38 minutes ago

0 comments:
Post a Comment