Hivi karibuni kulikuwa na maonesho ya biashara na kilimo ya Afrika mashariki yaliyofanyika katika viwanja vya Saba saba, Ilemela. Kulikuwa na mengi , lakini vituo vya Redio vya Kiss Fm na Redio Free Africa Mwanza vilikuwa vikitangaza moja kwa moja kutoka kwenye maonesho hayo. Fuatilia maonyesho hayo kwa njia ya Picha.
Maudhui ya maonyesho kwa kisukuma...
Live on Air. Take five.
Int. Paparazi na kiongozi Mwandamizi wa Kiss FM , Peter Omari akihojiwa juu ya Kile kinachoendelea viwanjani hapo.
Bamia hilo..si unajua linavyoliwa kienyeji!
Shughuli za matangazo ziliendelea....
Tungelima hivi nchi nzima ingekuwaje..Hindi hilo
Makomredi, Fredwa Fred Fedrick, Dr. Kifimbo na Peter Omari...Viwanja vya maonyesho.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, September 05, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment