Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Monday, September 14, 2009

Katika Kumbukumbu za wapenda muziki wa Kiarabu hawawezi kuwasahau waimbaji utakaowaona kwenye You tube hii. Hawa wana uwezo wa kukariri kibwagizo tu cha nyimbo , lakini mashairi huyaingiza hapo hapo kadri mzuka wa muziki unavyopanda. Katika hafla hii waimaji hawa wa kiume na wakike walikuwa wakishindanisha pumzi zao.Chukua muda wako uangalie vipaji hivi kutoka dunia ya kiarabu.
Unaona nyimbo ya kiarabu zinavyochezwa ..hebu nawe jaribu taratibu...

0 comments: