Raisi Jakaya kikwete leo anasherehekea miaka 59 ya kuzaliwa kwake . Alizaliwa katika Kijiji cha Msoga wilayani Bagamoyo tarehe 7, Oktoba , 1950. Kila la Kheri Mh. Rais. Picha kama hiyo chini alipokuwa jeshini bila shaka inamjia akikumbuka enzi za ujana ...za Pilikapilika za maisha!
FANTA® Introduces New Berry Flavour in Tanzania
9 hours ago

0 comments:
Post a Comment