Nilikuwa hapo Jana Usiku kupata mlo katika mgahawa fulani...Nje kidogo ya Tokyo jina la eneo hilo limebandikwa juu ya kibao hapoo!
Mandhali ya ndani ya mgahawani...fenicha kwa kiasi kikubwa ni mianzi...safiii!
Mlo fulani ulionifurahisha sana hii leo. Siku nyingine nitasogeza kidogo picha ili ukione hichoo chakula chenyewe!
Picha ya ukumbusho baada ya kushiba nanihii!
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, October 03, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment