Spidi 150 kwenye kona...baada ya kujioverdose maeneo yameumuka kiasi cha kutisha na kasi yake bado..Mmh!. Sasa kwakuwa Wachina wamefanikiwa katika kuongeza makalio , matiti na maeneo nyengine wanakuja na kitu kingine hebu angalia halafu soma hapo chini.
Baada ya kutoa dawa za kuongeza ukubwa wa makalio na mapaja ya wanawake, Wachina wametoa vifaa vinavyotumika kama bikira feki ambazo zimeanza kuzua mtafaruku mkubwa kwenye nchi za kiarabu. Wachina hawajachoka kuzindua dawa na vifaa vya kuwapa urembo feki dada zetu na sasa wamekuja na vifaa vinavyotumika kama bikira feki.Vifaa hivyo vina soko zaidi kwenye nchi za kiarabu kwani kwa mujibu wa tamaduni za nchi hizo mwanamke anayeolewa akiwa hana bikira huonekana ni muhuni na huitia aibu familia yake.Katika nchi za kiarabu si jambo geni ndoa kuvunjika siku ya harusi baada bwana harusi kula tunda kwa mara ya kwanza na kukuta tunda lake likiwa limeishadokolewa wengine.Bikira hizo feki zina uwezo wa kutoa damu bandia …Bikira hizo feki zimesababisha mtafaruku mkubwa nchini Misri na wabunge nchini humo wanataka adhabu ya kifo itolewe kwa mtu yeyote atakayeziingiza nchini humo. Baadhi ya kundi la wabunge nchini humo walisema kwamba kwakuwa bikira hizo feki zinatumika kwa lengo la kuwadanganya wanaume, wametaka serikali itoe tamko la kuzipiga marufuku kuingizwa nchini humo.Bikira hizo feki zimepata soko kubwa kutokana na kwamba zinauzwa kwa bei chee na hivyo hazina gharama kama zilivyo operesheni za kutengeneza bikira ambazo hufanyika kwa siri kwenye baadhi ya mahospitali katika nchi za kiarabu.Nchini Syria bikira hizo feki zinauzwa kwa dola 15 (Tsh. elfu 20) .Waswahili nao watazitaka tu ; Huu ni utandawazi au!Sijui bwana !
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Saturday, October 03, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment