Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, October 03, 2009


Waandishi wa habari wa Mkoani Mwanza wanaoshiriki mafunzo ya siku tano ya uandishi wa kitafiti wakiwa katika Viwanja wa Chuo Kikuu cha St. Augustine Jijini Mwanza hivi karibuni. Picha na Lukwangule.

0 comments: