Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, October 03, 2009


Mmoja wa watangazaji wa kwanza wa kike wa Redio Nchini Tanzania Edda Sanga wakati huo akijulikana kama Edda Williams Ngulukulu akiwa studio za Redio Tanzania Dar es salaam na hii ilikuwa tarehe 24.11.1971. Kwa sasa amestaafu utumishi wa umma na anajishughulisha na kazi za kijamii. Picha ya kihistoria.

0 comments: