Siku za Jumamosi na Jumapili (3-4/10) katika eneo la Hibiya hapa Japani ,kulikuwa na maonyesho makubwa ya bidhaa na huduma ambapo washiriki mbalimbali kutoka kila kona ya dunia walishiriki. Kwa njia ya Mirindimo fuatilia maonyesho hayo hasa yakilenga ushiriki wa Watanzania.
Da Miriam na mama Frank wakiwahudumia wateja...huku wakiitangaza Tanzania kupitia viremba vyao...take 5.
Moja ya shughuli muhimu ilikuwa ni ulaji...foleni ilikuwa ndefu katika banda la Tanzania...kupata pilau, ugali , sambusa na kazalika...
Wakubwa ...kitamu bila shaka!
Mwenyekiti wa Jumuia ya Watanzania wanaoishi Japani -Tanzanite alikuwepo katika maonyesho hayo na kukutana na wakereketwa wa Tz...Ushahidi V.
Majirani walikuwepo nao...
Wadau muhimu Da Miriam Na Bro Ndesika ...Big up!
Mr. Janis , Mama Koku na Mama Mwenyekiti -Tanzanite ni mashuhuda.
Wadau walikuwepo katika mpatempate ...kwa mbaali.
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Posted by
BM.
on
Tuesday, October 06, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment