Leo nilitembelea mgahawa wa Kihindi eneo la Shibuya jijini Tokyo , chakula nilichochagua kilikuwa na pilipili kali na nilikimaliza chote ...pamoja na kibaridi kikali , kijasho kilinitoka. Hapo shughuli ilikwisha..
Shibe ya Chakula cha kihindi mwili unawaka kwa pilipili...
Ni hapa...
Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comments:
umesahau, na kamasi jembamba halikuchirizika wewe? ole wako kama hukuliona litakuwa limechanganyika na chakula (nfu nfu nfu).
Mi napenda chakula cha pilipili!
Post a Comment