Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Saturday, February 20, 2010


Wakazi wa jiji la Kabul nchini Afghanistan hukusanyika nyakati za jioni kuona majogoo mawili yanavyoparurana kama ambavyo watu wa Japani wanavyoshabikia mchezo wa Mieleka wa Sumo. Timu inayotoka na ushindi kwa jogoo wake kumzidi mwenzake hufanya sherehe ya ushindi. kila mahali kuna mambo yake.

1 comments:

Anonymous said...

Wakiwa Marekani hao wanasomewa mashitaka na kuingizwa gerezani angalab miaka mitatu bila ubishi. Ila Afghan na kwetu Kiembe Mbuzi hii michezo ya kawaida kabisa, tamaduni hutafautiana.