Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Wednesday, March 17, 2010



Jitihada za kumuwezesha mlemavu huyu kutembea tena. Baada ya kuiona picha hii, hebu tafakari na amua kama una sababu ya kulalamika kiasi hicho bila shaka unatakiwa kufanya mambo mawili; Ku mshukuru Mungu wako na Kuwaombea wenye matatizo. Weye una changamoto tu , nadanganya?

2 comments:

Anonymous said...

Asante mkuu kwa kusaidia wadau kutofautisha matatizo na changamoto.



---------------------------------
R.Njau
Dar es salaam.

Anonymous said...

Dhana hapa ni kuhisi maumivu ya mwenzako kabla ya kuanza kuelezea maumivu yako.