Balozi mpya wa Tanzania nchini Japani Bi. Salome maleko amewasili jijini Tokyo tayari kuanza kazi yake. Picha inamuonyesha Bw. Elibariki Maleko , Afisa Mwandamizi katika ubalozi huo akimkaribisha katika hoteli ya Royal alikofikia kwa muda kabla hajahamia kwenye makazi yake rasmi.
Wawakilishi wa Jumuia ya watanzania wanaoishi Japani -TANZANITE walikuwepo katika Hotelini kumlaki Mh. Sijaona. Bi Mariam Yazawa kushoto na Bw. Julius Mwombeki jnr. Katibu wa Tanzanite kulia. Picha zaidi bofya ; www.mumyhery-jp.blogspot.com
KADI NYEKUNDU YA DERICK MUKOMBOZI DHIDI YA SIMBA YAFUTWA
11 minutes ago
0 comments:
Post a Comment