Mwenyekiti wa Jumuia ya watanzania wanaoishi Japani TANZANITE Dr. Ally Yahaya simba Pichani Kushoto na kulia kwake Dr. Kamu mdau mwandamizi anapenda kuwakumbusha wanajumuia kuwa kesho Jumatano 17/3 ndio siku ya mwisho ya kujiandikisha kwa wale watakaopenda kukutana na Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda ambaye atakuwa hapa Tokyo wiki ijayo. Utaratibu huu unalenga kuwa na maandalizi ya kisayansi ya mikutano.
Unaweza kuwasiliana nami kwa njia zifuatazo:- Email: ayasi@yahoo.com
Simu: 090-3899-0638...Muhimu Ukipata taarifa hii mtaarifu na mwenzio ili naye aweze kuhudhuria.
Maagizo ya rais ni nini?
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment