Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Sunday, March 14, 2010

Jibu lenyewe ni hilo;Wahusika ni hao na ukumbi wenyewe ni kule...
Naenda shughulini..

Mmoja wa viongozi waandamizi wa Idhaa ya Kiswahili ya Redio Japani Bi. Kaori Note Kulia amefunga ndoa leo na Mr. Takao. ilikuwa shangwe na nderemo kwetu sote wa Idhaa ya Kiswahili hapa Tokyo. Muonekano wa meza kuu.
href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjU4aISE1RGJDRp82LeHtwbC9c3MWhdMvBI23H7met9jhhMWbaQ5pE_XODWjE_-ed5z4eCZYFjAdRlv38PydISBb0266MeQTQ0xcBvS83WREbMOJvocoP-wSQfQUk2-fR_5QBeX0_tc3uU/s1600-h/Notesan+046.jpg">
eneo la maakuli...chakula kilikuwa kitamu na sote tulifurahi...
Shughuli ni watu...
Komrade Jonas Songora ni mmoja wa wageni mashuhuri katika hafla hiyo...ilibidi nijisogeze nipate picha...

Wafanyakazi wa Idhaa ya Kiswahili ya RJ..
href="https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEigxbASkLcK4nJDZRESvPrCVFTGm08VG6bnKo0EdNNXcxYtXXh_-oZ7vSZAnhoBEpSbMAXjeFaGu5nrVCuKIYroda4uK8DnykUnaNFRgz4CeXWg8iOqjIgVIA9Yu_Fvu66DHWimaHDirxg/s1600-h/Notesan+030.jpg">

Picha ya kumbukumbu na wadau...(L-R)BMsan, Kyomisan, Ndesikasan, Kamusan ...


Nami nilibahatisha kukalia kiti maalum cha haitebo , jirani yangu simfahamu lakini ni mwalikwa bila shaka.
Mdau " Aikamangi" Komrade Ndesika alikuwa eneo la tukio na alifanya vitu vyake.


Profesa Nasoro Nakajima, Mwalimu wa Kiswahili Redio Japani alikuwepo, kumbukumbu ikapatikana.


Nilibahatika kuonana na Bi. Midori Uno , Mhadhiri wa lugha ya Kiswahili katika Baadhi ya Vyuo Vikuu nchini Japani. Mama huyo ana tajiriba iliyotukuka ya maisha inayogusa lugha ya Kiswahili.

eneo maarufu jijini Shinjuku ambalo maharusi na wapendao hupiga picha zao ...nami nimejipatia moja ya kumbukumbu...bila shaka umaarufu wake unatokana na hizo herufu nyekundu nne...

0 comments: