Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Friday, March 12, 2010


Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda (Kushoto) akiongea na Mbunge wa Mufindi Kaskazini Mh. Joseph Mungai katika viwanja vya Bunge, Dodoma .

Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Kayanza Peter Pinda anatarajiwa kuitembelea Japani kuanzia Jumatano ijayo th.24/3/2010 mpaka th.27/3/2010. Pamoja na kukutana na Viongozi wa Juu wa Serikali ya Japani pia anatarajiwa kukutana na Watanzania wanaoishi hapa siku ya Ijumaa tarehe 26/3/2010. Kwa mujibu wa taarifa Kutoka kwa uongozi wa Jumuia ya Watanzania wanaoishi Japani -TANZANITE , Mkutano huo utafanyika katika Hotel ya New Otani iliopo jijini Tokyo wakati wa jioni.

0 comments: