Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, March 25, 2010


Kipande cha samaki mbichi na tonge la wali...chakula maarufu nchini Japani kiitwacho "Sushi". Kama pilau kule kwetu.

1 comments:

Anonymous said...

Asante sana mdau kwa kutuletea taswira hiyo.Nasikia wale samaki waliokamatwa huku kwenye ile meli soko lao kubwa ni huko Jepu na wanaliwa wakiwa wabichi bichiiiiiiii.Sijui ndiyo huyo ashushwa hapo au?Dadavua ustadhi wetu.