Ni hapa...

Umefika mahali unapopahitaji ...karibu!

Posted by BM. on Thursday, March 25, 2010


Palipo na maendeleo ya mwanamume , kuna mchango wa mwanamke (Ndio au Hapana?)Picha na habari bofya; http://dinamarios.blogspot.com/

3 comments:

Anonymous said...

Ndoa ni mkataba wa hiari kati ya mwnanamke na mwanaume.Na wanazuoni mahiri makini katika uga wa elimu ya biblia wanafahamu kuwa mwanamke na msaidizi rasmi wa mwanaume akiwa ni mwalimu,daktari,hakimu katika familia.Mwanaume anashauriwa ampende mkewe kama nafsi yake na mwanamke aonyeshe utii na staha kwa mume wake ambaye ni kichwa cha familia.

Anonymous said...

1oo% Yes...

Anonymous said...

Mnapoamua kuingia kwenye makataba ndoa ni muhimu kila mmoja afahamu wajibu wake katika familia kulingana na taratibu rasmi za maandiko matakatifu.Kwa ujumla mchango wa mwanamke katika familia ni muhimu sana lakini wanaume wengi wanadharau sana mchango huo na mwisho wa siku ni talaka.Wanasahau kuwa ukisema cha ni nini mwenzio anasema nitakipata lini?